Skip to content

Tembo Mystery Cache

Hidden : 4/19/2025
Difficulty:
3 out of 5
Terrain:
1 out of 5

Size: Size:   regular (regular)

Join now to view geocache location details. It's free!

Watch

How Geocaching Works

Please note Use of geocaching.com services is subject to the terms and conditions in our disclaimer.

Geocache Description:


Zamani kidogo Wajerumani walifika nchini kwangu. Wakadai kwamba nchi hii iwe ya kwao. Wakaua watu wengi na wakaiba vitu vingi. Kushehereka ukatili huu watu wa Bremen waliamua kukusanya hela nyingi na kujenga tembo ya matofali. Kumbe waliita kumbukumbu ya ukoloni. Miaka kadhaa badaye watu wa Bremen waliona aibu sana kuhusu kumbukumbu hii. Wakaamua kubadilisha jina la kumbukumbu hii. Wakaongeza neno "dhidi". Sasa tembo anaitwa kumbukumbu dhidi ya ukoloni.

Mimi ninatoka nchi nzuri. Katika nchi yangu kuna mlima mrefu kushinda milima yote kwenye bara la Afrika. Pia sisi tunatumia Kiswahili kama lugha rasmi ya taifa. Raisi wetu wa kwanza anaitwa Julius Kambarage Nyerere. Tunasema kwamba yeye ni Baba wa Taifa.

Je, Baba wa Taifa alizaliwa mwaka gani?  Mwaka huu iwe A.

Je, Baba wa Taifa alikufa mwaka gani? Mwaka huu iwe B.

Kufika mahali ambapo pana sanduku lenye kitabu cha wageni nenda hapa:

kaskazini hamsini na tatu, sufuri, nne, A-1047

mashariki nane, arobaini na tisa,  B-1389.

Kufungua sanduku tumia mia saba sabini na saba.

 

Additional Hints (Decrypt)

Fbzn znryrmb xjn znxvav.

Decryption Key

A|B|C|D|E|F|G|H|I|J|K|L|M
-------------------------
N|O|P|Q|R|S|T|U|V|W|X|Y|Z

(letter above equals below, and vice versa)